Tumbo na maziwa kuuma kwa mama mjamzito

congratulate, very good idea suggest..

Tumbo na maziwa kuuma kwa mama mjamzito

Post a Comment. Mzizi Mkavu. Home Mawasiliano. Maumivu ya tumbo wakati wa miezi mitatu ya kwanza ya mimba ni mojawapo ya matatizo yanayolalamikiwa na kina mama wengi. Kuna matatizo mengi ambayo yanahusiana tu na mimba, hata hivyo, ni muhimu kukumbuka kwamba hali yoyote ambayo husababisha maumivu katika mgonjwa asiyekuwa na ujauzito inaweza pia kutokea kwa mama mjamzito, ingawaje historia na uchunguzi vinaweza kuwa tofauti.

Kwa asili kutathmini maumivu ya tumbo kwa mama mjamzito ina changamoto kwa sababu kichefuchefu, kutapika, na maumivu ya tumbo hujitokeza mara nyingi kwa wajawazito wengi.

Mfuko wa uzazi unapotanuka unaweza kusukuma viungo vingine kando ndani ya tumbo, upungufu wa damu na leukocytosis ni kawaida katika mimba ya kawaida na si viashiriwa vya upungufu wa damu au maradhi. Mgonjwa ambaye mimba imetunga nje ya mfuko kipimo cha ultrasound kinaonyesha majimaji na uchafu ndani ya mfuko wa uzazi bila ushahidi wa mimba.

Kiinitete kinapojipandikiza katika kuta za ndani za mfuko wa uzazi inaweza kusababisha maumivu ya tumboambayo huchukua muda wa siku 1- 2 na kiasi kidogo cha damu ukeni. Mara nyingi kiasi hiki ni kidogo na hutokea kati ya siku 6 baada ya tarehe inayohisiwa mimba kutungwamara nyingi kipindi hiki hukaribiana na siku ambayo mwanamke alikuwa anatarajiwa kuingia hedhi.

Hivyo, wagonjwa mara nyingi hufanya makosa kwa kufikiri kuwa wameingia katika siku zao kama kawaida. Mimba iliyotunga nje ya mfuko ni tatizo linaloongoza kusababisha maumivu kwa kina mama wengi sehemu mbalimbali duniani. Tatizo hili linaweza kubainika kwa kutumia Ultrasounda na kipimo cha homoni HCG.

Hata hivyo tatizo hili linatibiwa kama dharura kwa mama kufanyiwa upasuaji. Sababu nyingine ni kutoka kwa mimba. Mimba inaweza kutoka yenyewe au kutolewa kwa makusudi.

Vyakula 10 bora ambavyo mama mjamzito anastahili kula

Tatizo hili huambatana na maumivu pamoja na kuvuja damu. Utoaji wa mimba usiokuwa salama unaongoza kusababisha vifo vya kina mama katika nchi zinazoendelea. Uvimbe kwenye mirija ya mayai Ovarian cyst. Wakati mwingine uvimbe huu hupasuka au kujizungusha.

Hata hivyo unaweza kupungua na usipopungua unaweza kuondolewa kwa njia ya upasuaji hasa wakati wa muhula wa pili wa ujauzito. Sababu nyingine ni kujizungusha kwa mirija ya mayai Ovarian torsion. Hii hujitokeza mara chache. Uvimbe kwenye mfuko wa uzazi pia husababisha maumivu hasa unapokuwa mkubwa.Kwa ajili afya ya mama na mtoto ni muhimu sana, mwanamke anatakiwa apate chakula bora kilicho na madini yote kama vitamini na protini. Ifuatayo ni mlo kamili anaotakiwa apate mama mjamzito kila siku ya ujauzito wake kwa afya bora.

Mbegu za makundekunde ni sehemu muhimu ya chakula kwa mama mjamzito kwa sababu huwa na kiwango kikubwa cha protini. Kwa watu wasiokula nyama au wana uwezo mdogo tu kujipatia nyama mbegu za jamii kunde zinatosheleza mahitaji ya protini.

Mayai mawili kwa siku husaidia kuupa mwili protini, vitamini A na madini ambayo itasaidia kuzuia kupatwa na maradhi ya magonjwa mbali mbali. Maziwa ni muhimu kwa protini, calcium, vitamini na virutubisho vingi. Vitasaidia ukuaji wa mifupa na misuli. Ni muhimu kwa damu yenye afya, kusaidia usingizi na kusawazisha mdundo wa moyo.

Viazi vitamu vina vitamini A ambayo husaidia ukuaji wa macho ya mtoto,ngozi na mifupa. Nyama ya nguruwe,kuku au ngombe huwa na protini mingi sana na husaidia katika ukuaji wa mwili wa mtoto hasa kwa mama mjamzito wa miezi minne. Vyakula hivi huipa mwili nguvu ya kufanya kazi na pia ukuaji wa mtoto tumboni. Vyakula hivi ni kama mahindi,mtama ,mihogo,vyakula vya ngano kama mkate n.

Avocado inasaidia katika ukuaji wa ubongo,ngozi nyororo na ukuaji wa misuli ya mtoto tumboni. Mboga za majani kama spinach, kabeji, mchicha na matembele. Mboga hizi zinafaa ziwe zenye rangi ya kijani iliyokolea kwa sababu hizi ndizo zenye virutubisho vya kutosha. Mboga hizi zitampa mama na mtoto wake Vitamin A na B, pia virutubisho vitakavyosaidia mwili kupata protini ya kutosha, ukuaji wa mwili, na utengenezaji wa damu.

Mafuta ya maini ya samaki huwa na Omega fatty acids ambayo inasaidia ukuaji wa ubongo na macho ya mtoto.

Maji ni muhimu kwa mwili kwa sababu inasaidia kwenye mmenyenyo na unyonywaji chakula na pia husaidia kuzia choo ngumu. Una maoni? Una taarifa ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi. Main Swahili Swahili. Subscribe to watch new videos.

Source: Tuko Kenya. Show Comments.Post a Comment. Wednesday, April 25, Maumivu ya mgongo kwa mama mjamzito.

Fnaf books canon

Uongezekaji wa uzito wa mtoto, Uongezekaji wa maziwa na uzito sehemu mbali mbali ya mwili, kubadilika kwa mwenedo wa mwili, kubadilika kwa mhimili wa mwili, uzito na stress kwenye mafigo na ugumu wa kuamka na kukaa katika viti na vitanda husababisha mwanamke kupata maumivu ya mara kwa mara kwenye mgongo katika ujauzitio wake. Hakuna dawa ambayo mama anashauriwa kunywa ili kukabiliana na maumivu haya. Hata dawa za kupunguza maumivu kama aspirin na panadol hazishauriwi. Kuimarisha misuli ya tumbo kwa mazoezi, kukaa na kulala kwenye viti na vitanda vyenye support ya kutosha inaweza ikasaidia sana kuzuia uzito wa mtoto kuweka pressure kwenye mgongo.

Kufanya mazoezi mara kwa mara bila kukosa kutasaidia misuli iimarike na kuweka mhimili wa mwili na balance sawa. Hili zoezi limefanana na zoezi la Pelvic Rocking ambalo tulishaliongelea kwenye maada zilizopita.

Unaweza kufanya hili zoezi kila siku au pale unaposikia maumivu kwenye mgongo. Kaa kwenye position ya mikono na magoti chini kwenye sakafu. Vuta pumzi kwa ndani shusha kichwa chini na weka mgongo juu kama paka. Achia pumzi na weka kichwa juu na acha mabega yarudi chini.

Assetto corsa pickup mode

Endelea kurudia zoezi huku ukivuta na kuachia pumzia. Hili zoezi linaweza kufanywa pia ukiwa umesimama. Mara moja kwa siku au pale usikiapo maumivu lala chali kwenye sakafu na vuta magoti kuelekea kwenye kifua. Nyosha mikono pembeni. Fanya hivyo mara moja au mbili. Maumivu yakizidi unaweza kwenda kwa mtaalamu wa massage au chiropractor ambaye anaweza kunyoosha misuli mbali mbali ya mgongo.

Fanya mazoezi maalum ya ujauzito la Pelvic Rocking kuimarisha misuli na kusaidia kuunyosha mgongo. Kaa vizuri na kutembea kwa kunyoosha mgongo yaani usiegemeze uzito wako sehemu moja. Vyakula vyenye virutubisho vya calcium na magnesium kama tulivyoongelea kwenye maada zilizopita vinaweza kuzuia au pia kupunguza maumivu ya mgongo. Pia kunywa maji ya limao glass sita kwa siku itasaidia kusafisha figo na kupunguza maumivu ya mgongo.

tumbo na maziwa kuuma kwa mama mjamzito

Juice ya wheat grass ni nzuri sana kwa maumivu hasa hasa ya mgongo. Hii juici inavirutubisho ambavyo vinasaidia kuimarisha misuli. Kurelax nerve na kufanya uti wa mgongo uwe flexible. Chai au maji ya Nettle Infusion inasaidia kuimarisha na kusafisha figo.Ahsante Sana doctor na mm ni mojawapo Wa hayo matatizo Nanilienda kupima nikaambiwa na uvimbe kwenye mayai Nasasahv nipo kwenye dozi ya sindano guys naomba mnisaidie kwa Yoyote anaejua dawa ya kienyeji ya ili Tatizo anisaidie Nina ujauzito Wa wiki Saba sasa.

Ok wapenzi leo nimepata swali kutoka kwa msomaji mwenzenu. Yeye Anauliza Hello, Pole na shughuli, Mwanamke anapokuwa na tatizo la kuumwa tumbo sometimes linakuwa linanyonga hasa hasa usiku ikiwa ana pregnancy ya miezi miwili Kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza kusababisha maumivu ya tumbo kwa mama mjamzito, kabla ya kuelezea kwa undani zaidi sababu mbali mbali za maumivu haya ningependa tu kusema kwa ushauri wangu, mama asikiapo maumivu yoyote ambayo si ya kawaida ni vizuri kukutana na daktari maalum wa ujauzito OBGYN kwa ushauri zaidi kama hamjafanya hivyo tayari ili tatizo liangaliwe na daktari kwa umakini na undani zaidi.

Ni vigumu sana kutoa ushauri maalum bila kufahamu data nzima na historia ya afya ya mwanamke huyo, kwa ajili ya hilo hapa nitatoa tu sababu kadhaa kijuu juu. Mara nyingi kuna tofauti kubwa katika maumivu ya tumbo katika miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito first trimester na miezi mitatu ya mwisho ya ujauzito third trimester.

Certreq inf file example san

Kwanza kabisa siku kadhaa baada ya utungaji wa mimba mama anaweza kupata maumivu ya tumbo implantation cramping pale yai linapojishikisha kwenye ukuta wa uterus. Hii inatokea siku saba baada ya ovulation. Wakati mwingine damu kidogo itaonekana katika kipindi hiki. Sio wanawake wote wanapata maumivu haya. Maumivu haya yanaweza kuendelea kwa kipindi kizima cha ujauzito katika kutayarisha uterus kuhifadhi mtoto.

Pia kabla ya wiki kumi na mbili 12 au miezi mitatu ya ujauzito mama anaweza akasikia maumivu kutokana na kutanuka kwa misuli iliyo chini ya uterus inayoongezeka na kujivuta na kuongeza nafasi ili mtoto apate nafasi ya kutosha kadri anavyoongezeka uzito na anavyokua. Maumivu haya yanaitwa Round Ligament Pain. Mara nyingi wamama ambao ni mama kwa mara ya kwanza au hawajazaa kwa kipindi kirefu watayasikia maumivu haya.

Maumivu haya mara nyingi huisha baada ya miezi mitatu lakini yanaweza kuendelea mpaka mwisho wa ujauztio kutokana na maumbile ya mwanamke. Jinsi ya kupunguza maumivu ya Round Ligament au kutanuka kwa misuli. Kama ulikuwa umelala amka halafu egemea upande wa maumivu vile vile mpaka maumvu yatakapo isha au kupungua kwa kasi. Maumivu mengine ambayo huwa ya kawaida yanayoweza kutokea kwa mama mjamzito ni maumivu feki ya labor yaani Braxton Hicks Contraction. Haya maumivu huwa yanatokea kuanzia miezi minne ya ujauzito.

Maumivu haya yanakuwa kama maumivu ya labor ila yenyewe hayaendelei mpaka labor, yanatokea tu kutayarisha mwili na labor. Maumivu mengine ya tumbo ambayo ni ya kawaida wakati wa ujauzito ni pamoja na kukosa choo au kupata choo kigumu constipation au kiungulia heartburn na tulishaongelea jinsi ya kukabiliana na haya katika maada zilizopita.

Wakati mwingine kuumwa kwa tumbo kunaweza kutokana na magonjwa au hali mbaya kwa mama ikiwa pamoja na yafuatayo:. Kama mama anasikia maumivu kama yale ayapatayo wakati wa siku zake za mwezi menstruation ikifuatiwa na damu ni vizuri kumuona daktari mara moja. Mama ale vyakula visivyo na acid kama maumivu yakizidi akutane na daktari. Mama anabidi akutane na daktari mara moja.

Magonjwa yaliyotajwa hapo juu ni baadhi tu ya magonjwa yanayoweza kusababisha kuumwa kwa tumbo kwa mama mjamzito. Cha muhimu kama mama anamaumivu makali tumboni ni vizuri tu kufanyiwa check up na daktari hasa hasa mtaalamu wa wamama wajawazito OBGYN kuhakikisha kila kitu kiko sawa. Asante sana kwa swali lako. Kwa wasomaji wengine kama mna maswali mnakaribishwa kuyatuma mwanamkeuzazi gmail.

Labels: Maswali kutoka kwa wasomaji.Mchanganyiko wa chakula chenye virutubishi kitamfanya mwanamke awe na nguvu na afya; aweze kupata nguvu za kujifungua na kumhudumia mtoto. Kama mwanamke mjamzito hali chakula cha kutosha, inawezekana anawachia chakula wana familia wengine, au mama mkwe kwa nia njema katika uelewa wake amemwambia asile baadhi ya vyakula au asiongezeke uzito ili aweze kujifungua kwa urahisi. Kumbuka mwanamke analazimika kula chakula cha kumtosha yeye na mwanae.

Hivyo anahitaji kula chakula zaidi kuliko watu wazima wengine na siyo kidogo kuliko wao. Wanawake wajawazito, kama watu wengine, wanahitaji mchanganyiko wa protini, mbogamboga,matunda, na wanga. Pia wanapaswa kula mara nyingi zaidi, wakipata vyakula vidogo vidogo kati ya milo ya kawaida siku nzima. Kwa ushauri kuhusu ulaji bora, angalia Lishe bora hutengeneza afya bora. Anemia upungufu wa chembe nyekundu kwenye damu hutokea sana wakati wa ujauzito. Husababisha kujisikia mchovu kila mara.

Anemia ni hatari zaidi hasa kwa akinamama wajawazito kwa sababu damu hupotea wakati wa kujifungua.

tumbo na maziwa kuuma kwa mama mjamzito

Hii inaweza kuzidisha upungufu huo na kusababisha mama kupoteza maisha. Zuia anemia kwa kula vyakula vyenye protini na wingi wa madini chuma, na pia kutumia dawa ya kuongeza madini chuma mwilini. Bonyeza hapa kwa ajili ya taarifa zaidi juu ya madini chuma na njia zingine za ziada za kuongeza madini chuma mwilini. Malaria angalia Baadhi ya magonjwa hatari ya kuambukiza kinaandaliwa na minyoo ya safura vinaweza kusababisha anemia na hivyo hutakiwa kutibiwa mara moja.

Ukosefu wa asidi ya foliki au vitamini ya foleti kunaweza kusababisha hitilafu katika umbaaji wa mtoto na hata ulemavu.

VYAKULA MUHIMU KWA MAMA MJAMZITO.

Chagua dawa za kuongeza madini chuma mwilini ambazo zinajumuisha asidi ya foliki, au dawa za kuongeza foliki mwilini. Bonyeza hapa kwa taarifa zaidi juu ya asidi ya foliki.

tumbo na maziwa kuuma kwa mama mjamzito

Mbogamboga za kijani na matunda ya rangi ya chungwa huwa na vitamini A, kirutubishi ambacho kinahitajika kwa ajili ya afya ya macho. Mwanamke mjamzito anahitaji mbogamboga za kijani na matunda ya rangi ya chungwa zaidi kwa sababu vitamini A anayokula hutumika kwanza kukidhi mahitaji ya mtoto.

Ukosefu wa vitamini A unaweza kusababisha kutoona usiku au upofu kwa ujumla. Wahimize wanafamilia na majirani kumsaidia mama mjamzito katika kazi na majukumu yake. Mkumbushe, hasa ujauzito unapozidi kukua, kupumzika na kuinua miguu yake juu mara kadhaa kwa siku au kulala chini wakati wa alfajiri.

Kulea ujauzito ni kazi kwa mwili; nao mwili unahitaji kupumzika. Sigara na tumbaku huathiri mapafu ya mama na vinaweza kusabisha saratani na hata kifo. Moshi unaweza kusababisha mtoto kuzaliwa kabla ya muda wake au akiwa na uzito mdogo sana, au akiwa amekwisha kufa.

Akina mama na watoto wao wanaweza hata kudhurika kutokana na watu wanovuta sigara karibu nao. Ikumbushe familia na wengine kuepuka kuvuta sigara katika chumba kimoja au kweye gari wanapokuwa na mama mjamzito au watoto. Mama mjamzito anapokunywa pombe, pombe hiyo huenda kwa mwanae na inaweza kusababisha hitilafu za kudumu kwenye ubongo wa mtoto na mwili wake. Kadri anavyozidi kunywa pombe nyingi ndivyo madhara kwa mtoto yanavyongezeka. Vivyo hivyo, madawa ya kulevya yakiwemo kokeni, bangi, unga na madawa mengine ni hatari kwa akinamama wajawazito na watoto wao.

Angalia Madawa ya kulevya, pombe na tumbaku kinaandaliwa kwa msaada zaidi juu ya madawa na pombe. Dawa nyingi anapozitumia mwanamke mjamzito pia humfikia mtoto wake.

Must have off grid items

Kwa sababu watoto tumboni wanakuwa wadogo sana na wakiendelea kuumbika, dawa ambazo ni salama kwa mtu mzima zinaweza kusababisha hitilafu wakati wa kujifungua na hata madhara kwa mtoto. Hivyo akina mama wajawazito wanapaswa kuepuka kutumia dawa holela. Kupumzika na vinywaji laini — siyo dawa — ndiyo tiba bora zaidi kwa matatizo madogo madogo kama vile maumivu ya kichwa, maumivu ya tumbo, na mafua. Lakini baadhi ya magonjwa ni hatari sana kuyaachia bila kuyatibu katika kipindi chote cha ujauzito.

Ugonjwa unaweza kuwa hatari pia kwa mtoto. Magonjwa kwa wanawake wajawazito ambayo yanapaswa kutibiwa na dawa ni pamoja na:. Ili kujua iwapo dawa yeyote ile ni salama kutumia wakati wa ujauzito na wakati wa unyonyeshaji, muulize mfanyakazi wa afya mwenye uzoefu.

Angalia pia sehemu ya dawa mwishoni mwa sura hii, au rejea miongozo mingine juu ya matumizi ya dawa.Mimi pia ilikua hvo ila nliambiwa ni kawaida kutokana na mabadiliko ya mwili baada ya kitu kipya ndani ya mwili.

Lishe bora wakati wa ujauzito ni muhimu sana, kwani lishe hii hutumika kwa mama na mtoto anaendelea kukua tumboni. Kwa kawaida mahitaji ya chakula na virutubisho mwilini mwa mwanamke huongezeka wakati wa ujauzito na kadri ujauzito unavyoendelea kukua, virutubisho hivyo hutumika kujenga mwili wa mama na mtoto. Hivyo maamuzi ya lishe au lishe mama anayopata huathiri pia maendeleo ya mtoto anayekua mwilini mwake. Tutaona vyakula muhimu vya kuzingatia lishe bora wakati wa ujauzito na baadhi ya vitu vya kukwepa.

Mlo kamili balanced dietni muhimu kwa ajili ya maendeleo mazuri ya afya ya mjamzito na mtoto tumboni. Pamoja na mlo kamili mjamzito hupewa virutubisho ziada supplements kwa ajili ya kuongeza madini kama ya chuma na Foliki.

Cisco vpn client windows 10 1903

Mlo kamili unajumuisha vyakula vya wanga, protini, mafuta, vitamini, madini na maji kama inavyochambuliwa hapa chini. Nafaka na Vyakula vya Wanga. Vyakula hivi huupa mwili nguvu za kufanya kazi ikiwemo ukuaji wa mtoto tumboni.

Vyanzo vya wanga ni kama nafaka mbalimbali mahindi,mtama,ulezi n. Ni vizuri mjamzito awe anapata nafaka kamili whole grains kama mahindi, ngano na mchele usiokobolewa; cereals n. Nyama, Samaki na Vyakula vya Protini. Hivi ni muhimu kwenye kuujenga mwili, hasa kipindi cha miwezi wa 4 mpaka wa 9 ambacho viungo mbalimbali vya mtoto vinajengwa. Ni muhimu mama apate vyakula vya protini vya kutosha ili kuhakikisha ukuaji wa mtoto unaenda vizuri. Samaki, maziwa, mayai ni vyanzo vingine vya protini muhimu.

Vyakula vya Mafuta. Hutumika kwenye kuupatia mwili nguvu pamoja na ujengaji wa seli za mwili. Mara nyingi vyakula kama nyama, karanga, ufuta, alizeti,senene, panzi, samaki na matunnda kama maparachichi huwa na mafuta.

Ni vizuri kutumia mafuta yatokanayo na mimea ili kupunguza mafuta yenye lehemu cholesterol nyingi. Mboga za Majani na Matunda. Matunda na mboga za majani ni sehemu muhimu sana ya mlo wakati wa ujauzito, kwani huupatia mwili vitamini, madini na kambakamba kwa ajili ya kulainisha chakula.

Vitamini husaidia kuimarisha kinga ya mwili sambamba na ufanyaji kazi wa mwili. Madini kama ya chuma, kalsiamu, zinki, madini joto Iodine na magneziamu ni muhimu kwa ukuaji salama wa mtoto tumboni mwa mama.

EXCLUSIVE: Mambo muhimu yakufahamu MAMA MJAMZITO ili kuwa salama na kiumbe chako tumboni

Vitamini B9 Foliki asidi na madini ya chuma hutolewa kama virutubisho ziada kliniki wakati wa ujauzito ili kutosheleza mahitaji ya mwili na kuzuia hatari ya upungufu wa damu kutokea.Miezi 7- 9 ya ujauzito huwa kwa kiasi kikubwa salama bila ya kuwa na dhoruba zozote.

Mpaka sasa tumbo limeshakuwa kubwa na umeshasikia mtoto akicheza tumboni. Ndani ya miezi ya ujauzito, mtoto hupata mabadiliko makubwa yanayohitimisha ukuaji wake. Huongezeka uzito kutoka kilo 1 mpaka kilo 3. Katika kipindi hiki cha tatu cha ujauzito third trimesterbaadhi ya dalili za mwanzo za ujauzito zinaweza kurudi au kujitokeza zaidi. Ni kipindi ambacho unaweza kuwa umechoka, ukitamani wakati ufike haraka ujifungue.

Kipindi cha pili cha ujauzito second trimester ulianza kuhisi mtoto akicheza tumboni, katika kipindi hiki utasikia zaidi mtoto akizidi kucheza kujigeuza, kurusha mikono na miguu. Wakati mwingine anaweza kuwa anacheza kiasi cha kukuamsha kutoka usingizini au kusababisha ukose usingizi. Unaweza kuona movement za mtoto nje ya tumbo, ukazigusa na kuzihisi. Muda wa kujifungua unapokaribia, mwili wako nao unajiandaa kuweza kumlea mtoto. Matiti yako yatendelea kukua, ili kuwa tayari kuanza kunyonyesha.

Yanaweza kuanza kutoa maziwa ya njano hivi, haya ni muhimu kwa siku za mwanzo za mtoto akizaliwa. Mtoto tumboni anaendelea kukua mpaka kufikia wastani wa kilo 3.

Sababu za tumbo kujaa gesi

Kukua huku husababisha tumbo kuendelea kuwa kubwa, likikua kuelekea juu na baadae kushuka chini wakati wa kujifungua unapokaribia. Utaanza kupata mikazo ya tumbo isiyouma ambayo hujulikana kama Braxton Hicks contractions, hutokea kwa muda mfupi na kuacha. Tofauti na mikazo ya uchungu labor contractionsmikazo hii huwa haiumi na hujitokeza bila wakati maalumu. Endapo unapata mikazo inayouma, na kuongezeka Kadri muda unavyoenda wahi kituo cha afya mapema. Mabadiliko ya kihomoni katika kipindi hiki huchangia kuongezeka kwa majimaji ya uke.

Huwa ni ya kawaida yasiyowasha wala kuwa na harufu mbaya. Onana na daktari wako haraka endapo maji mengi kwa ghafla, yenye damu damu harufu au kuwasha.

Mtoto wako anavyozidi kukua, homoni hulegeza misuli ya mifupa ya kiuno na uzito wa mtoto kuja maeneo ya kiunoni. Kaa kwenye kiti chenye support nzuri, epuka uvaaji wa viatu virefu na pata godoro zuri la kulalia. Ikiwa maumivu ni makali yakiambatana na dalili nyingine, onana na daktari mapema.

Kipindi hiki utapata hali ya kukojoa mara kwa mara, na wakati mwingine mkojo kuvuja polepole bila wewe kujua. Inatokana na tumbo la uzazi kukandamiza kibofu cha mkojo, na hivyo mkojo kutoka mara kwa mara. Ni vizuri ukavaa nguo za ndani za pamba na panty liners na kufanya mazoezi ya Kegel ili kudhibiti mkojo unaovuja. Endapo unapata maumivu wakati wa kukojoa, maumivu chini ya tumbo, homa na kukojoa mara nyingi zaidi ya kawaida, onana na daktari kwani zinaweza kuwa dalili za UTI.

Katika kipindi hiki tumbo la uzazi hukua kuelekea juu na hivyo kulisukuma tumbo la chakula kutoka katika nafasi yake, hivyo kusababisha asidi ya tumboni karudi kwenge mrija wa chakula na kusababisha kiungulia. Pata mlo kidogo lakini mara kwa mara, punguza juisi zenye machungwa, ndimu au malimao.


Shakalrajas

thoughts on “Tumbo na maziwa kuuma kwa mama mjamzito

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top